Kiamarasi

Kiamarasi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waamarasi kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiamarasi imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamarasi iko katika kundi la Kitimor-Babar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search